Wasomaji Maarufu wa Qur'ani Tukufu /27
        
        TEHRAN (IQNA) – Ahmed  Mohamed Amer  alikuwa qari mashuhuri wa Misri ambaye alisoma Qur’ani Tukufu kwa ubora na kwa sauti maridadi hata alipokuwa na umri wa miaka 88.
                Habari ID: 3476550               Tarehe ya kuchapishwa            : 2023/02/12